Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Maskini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maskini (kutokaneno laKiarabu) nimtu ambaye anatiahuruma kwa sababu nimlemavu, amapatwa namsiba mkubwa, au ana uwezo duni katikauchumi.

Mara nyingi mtu hutajwa kuwa maskini pale ambapo hana uwezo wa kumudu maisha yake kwa kupata mahitaji yake muhimu yaanimakazi mazuri,mavazi mazuri nachakula kizuri.

Mtu maskini pengine huwa hana uhakika wa kula, uhakika wa kununua mavazi na uhakika wa kupata matibabu pale atakapoumwa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMaskini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Maskini&oldid=1257882"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp