Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Maskarena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visiwa vya Makarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi

Maskarena nifunguvisiwa katikaBahari Hindi takriban km 900 mashariki kwaMadagaska. Kwa jumla nivisiwa vyadola laMorisi pamoja nakisiwa cha Kifaransa chaRéunion.

Visiwa muhimu ni Morisi, Réunion,Rodrigues naCargados Carajos.

Asili yajina ninahodhaMrenoPedro Mascarenhas aliyekuwaMzungu wa kwanza wa kuvitembelea. Havikuwa na wakazi lakini Mascarenhas alitoa taarifa ya kwamba alikuta mabaki yameli iliyowahi kuharibika kitambo.

Kwa hiyo inaaminika ya kwambamabahariaWaarabu labda piaWahindi waliwahi kufika mara kwa mara visiwani bila kuanzisha makao ya kudumu. Lakini visiwa vilisaidia waliosafiribaharini kupatachakula namaji na kupumzika kabla ya kuendelea na safari zao.

Makala hii kuhusu maeneo yaAfrika bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuMaskarena kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Maskarena&oldid=1404404"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp