Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Marvel Comics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Marvel Comics

Marvel Comics (iliyoanzishwa mwaka wa 1939 kama Marvel Worldwide Inc, kisha Marvel Publishing, Inc na baadayeMarvel Comics Group) nikampuni yakatuni yaMarekani ambayo hutengeneza superhero. Mpinzani wake mkuu niDC Comics.

Mnamo 2009, kampuni yaWalt Disney ilinunua Marvel kwa dola bilioni 4 za Marekani.Wahusika wao waliundwa naStan Lee,Jack Kirby,Steve Ditko na wengine wengi.Mwaka wa 2017, waliweza kuunganisha dunia hizi za maonesho ya Marvel na DC na kutengeneza filamu ya "Justice League".

Wahusika

[hariri |hariri chanzo]

Hawa ni baadhi ya wahusika wa Marvel Comics:

Makundi ya masuperhero

[hariri |hariri chanzo]

Wengi wa wahusika wao hufanyika katika ulimwengu wa kuvutia wa ajabu na maeneo ambayo miji halisi ya maisha au ni maeneo ya uongo. Baadhi ya timu zao maarufu zaidi ni:

Waigizaji

[hariri |hariri chanzo]

Baadhi ya waigizaji wao maarufu:

Makala hii kuhusu mambo yauchumi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMarvel Comics kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Marvel_Comics&oldid=1291450"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp