Katika kazi yake, Molina alifanya utafiti na kufundisha katika Chuo Kikuu cha California,Irvine,California Taasisi yaTeknolojia, Taasisi yaTeknolojia ya Massachusetts,Chuo Kikuu cha California, San Diego, na Kituo cha Sayansi ya Anga katika Taasisi ya Sayansi ya Bahari ya Scripps. Molina pia alikuwaMkurugenzi wa Kituo cha Mario Molina cha Nishati na Mazingira hukoMexico City. Molina alikuwa mshauri wa sera zahali ya hewa kwaRais wa Mexico, Enrique Peña Nieto.
Makala hii kuhusu mshindi waTuzo ya Nobel bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuMario Molina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.