Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Marina wa Antiokia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Marina Mfiadini alivyochorwamwaka1858.

Marina auMargareta wa Antiokia (289-304) alikuwabikira waAntiokia ya Pisidia (leo nchiniUturuki) aliyefiadini yaUkristo[1][2].

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa naWakatoliki[3],Waorthodoksi,Waorthodoksi wa Mashariki[4] naWaanglikana[5] kamamtakatifumfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwatarehe20 Julai[6] au siku nyingine kadiri yamadhehebu.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Mary Clayton; Hugh Magennis (15 Septemba 1994).The Old English Lives of St. Margaret. Cambridge University Press. uk. 3.ISBN 978-0-521-43382-2.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/63700
  3. "Margaret of Antioch".The Oxford Dictionary of Saints. David Hugh Farmer. Oxford University Press, 2003.Oxford Reference Online. Oxford University Press. Accessed 16 June 2007
  4. https://st-takla.org/Full-Free-Coptic-Books/Synaxarium-or-Synaxarion/11-Abeeb/23-Abeeb.html
  5. Book of Common Prayer
  6. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001ISBN 88-209-7210-7)

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Acta Sanctorum, July, v. 24–45
  • Bibliotheca hagiographica. La/ma (Brussels, 1899), n. 5303–53r3
  • Frances Arnold-Forster,Studies in Church Dedications (London, 1899), i. 131–133 and iii. 19.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Marina_wa_Antiokia&oldid=1322760"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp