Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Marcos Rojo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marcos Rojo (2015).

Marcos Rojo (alizaliwatarehe20 Machi1990) nimchezaji waArgentina ambaye anachezaManchester United natimu yataifa yaArgentina kamabeki.

Klabu yakwanzakuichezea ni Estudiantes de La Plata ambapo mwaka2009 alifanikiwa kushindakombe laCopa Libertadores.Mwaka 2012 alijiunga naSporting CP baada yamiakamiwili alihamiaManchester United kwaada ya Euromilioni 16 ambapo anacheza mpaka sasa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMarcos Rojo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Marcos_Rojo&oldid=1347630"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp