Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mapacha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marian na Vivian Brown,dada pacha wanaofanana.

Mapacha aundugu pacha niwatu auwanyama waliozaliwa kwa pamoja kutokatumboni mwamama yao[1]. Kwa binadamu mara nyingi huwa wawili.

Kuna aina kuumbili za mapacha ambao ni wale wanaofanana na wale wasiofanana. Tofauti ni kwamba wa kwanza wametokana nakijiyai kimoja kilichofikiwa nambegu moja, kumbe wa pili wametokana na vijiyai viwili vilivyofikiwa na mbegu mbili. Hivyo wa kwanza wanajinsia ileile na kwa kawaida kabisaDNA ileile, kumbe wa pili DNA zao ni tofauti, ila zinafanana kiasi kama zile zandugu wote wenyebaba mmoja namama mmoja[2].

Kimataifa aina ya kwanza inatokea mara 3 katikaujauzito wawanawake 1,000[3].

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. MedicineNet > Definition of TwinIlihifadhiwa 22 Oktoba 2013 kwenyeWayback Machine. Last Editorial Review: 19 June 2000
  2. Michael R. Cummings "Human Heredity Principles and issues" p. 104.
  3. April Holladay (2001-05-09)."What triggers twinning?". WonderQuest. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2012-04-14. Iliwekwa mnamo2007-03-22.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yabiolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMapacha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mapacha&oldid=1288503"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp