Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Madhara yasiyokusudiwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Madhara yasiyokusudiwa (kwaKiingereza:collateral damage) niistilahi ya kutaja tukio baya lisilokusudiwa.

Istilahi hiyo hutumika hasa katikamaadili na katikatiba kuhusu uharibifu unaotokea wakati mtu analenga jambo jema, kamauponyaji wamgonjwa. Mara nyingidawa zinamsaidia kweli lakini kwa kiasi fulani zinamdhuru pia.

Kijeshi inamaanisha uharibifu wamali zaraia au watu majeruhi ambao si wapiganaji, yaani, raia wa kawaida tu.[1] Mfano ni wakati wa matumizi yasilaha kamamzinga,bomu aukombora dhidi yawanajeshiadui: katika nafasi hiyo watu aunyumba za kiraia wanaweza kupigwa ama kwa kosa au kutokana na ukali wamlipuko.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. "collateral damage".Merriam-Webster.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Madhara_yasiyokusudiwa&oldid=1288283"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp