Madaraka ni uwezo ambaomtu hupewa ili kuongoza kundi fulani lawatu. Madaraka hayo huweza kufikia kuwa ya kuongozakundi kubwa la watu au hatanchi nzima.Uongozi unaweza kuwa ni wa mtu mmoja mmoja au wa kundi kubwa la watu.
Madaraka hutolewa kwanjiambili ambazo ni kuteuliwa au kuchaguliwa.Uongozi wa kuchaguliwa hupatikana kwa kupigakura hukuuongozi wa kuteuliwa ukipatikana kwa kuteuliwa.
Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari. |