Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Machi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Feb -Machi -Apr
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031
Kalenda ya Gregori

Mwezi waMachi ni mwezi wa tatu katikaKalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na jina la mungu wa vita waWarumiMars.

Tarehe 20, mwezi huo wa Machi, ni siku mlingano (auikwinoksi kutoka Kiingerezaequinox) ambapo jua huvuka mstari waikweta, nausiku na mchana ziko sawasawa kimudaduniani popote (ila maeneo ya ncha ambapo nusu ya jua hubaki chini ya upeo wa macho na nusu nyingine juu kwa siku nzima).

Machi ina siku 31, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi waNovemba, na pia katika miaka ya kawaida isiyo mirefu, siku yake ya kwanza ni sawa na mwezi waFebruari.

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Machi&oldid=1320677"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp