Mababu wa Kapadokia nijina linalojumlisha maaskofu watatu wakarne ya 4 kutokamkoa huo (leo nchiniUturuki):Basili Mkuu (330-379), mdogo wakeGregori wa Nisa narafiki yao mkubwaGregori wa Nazianzo.
![]() | Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuMababu wa Kapadokia kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |