Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

MTV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni lebo ya MTV

MTV ni chaneli yamuziki iliyopojijiniNew York,Marekani. Ilizinduliwa mnamoAgosti 1,1981) na hutumika kama mali kuu yaMTV Entertainment Group, sehemu yaParamount Media Networks ikiwa ni mgawanyiko waParamount Global.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Mawazo yatelevisheni ya muziki yalianza katika miaka ya1960.Bendi ya muziki yaThe Beatles walitumia video za muziki kutangaza rekodi zao kuanzia katikati yamiaka ya 1960.Filamu yao iliyotoka mwaka1964 yaA Hard Day's Night, na uimbaji wa wimbo "Can't Buy Me Love", zilifanya MTV kumtunukiatuzo ya (kuvumbua video ya muziki)mkurugenzi wafilamu hiyoRichard Lester.[1]

Mnamo1967,kampuni iliyopoLos Angeles iitwayoCharlatan Productions ilianza kutoa filamu za matangazo kwa vikundi vya rock kwa mbinu ya kipekee, iliyohusisha kutafsirinyimbo binafsi kwa kutengenezamaandishi asilia namatukio ya kisanii ili kuendana. Charlatan ilianzishwa na watengenezaji filamuPeter Gardiner naAllen Daviau; wote wawili walikuwa watayarishaji wa matukio maalamu kwenye filamu miaka hiyo.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Richard Lester: A hard day's life".Salon (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2012-11-26. Iliwekwa mnamo2012-11-26.
Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=MTV&oldid=1321772"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp