Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

M

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfabeti ya Kilatini
AaBbCcDd
EeFfGgHhIiJj
KkLlMmNnOoPp
QqRrSsTtUuVv
WwXxYyZz
(Kwa matumizi ya Kiswahili)
chdhghkh
mbmvndngng'nj
nynzshth

M niherufi ya 13 katikaalfabeti ya Kilatini ambayo ni piamwandiko waKiswahili cha kisasa.Asili yake ni Mi yaalfabeti ya Kigiriki.

Maana za M

[hariri |hariri chanzo]

Historia ya alama M

[hariri |hariri chanzo]
Kisemiti asilia:
picha ya maji
Kifinisia:
Mem kwa "M"
Kigiriki
Mi
Kietruski
M
Kilatini
M
Roman M

Asili ya herufi M ni katika miandiko iliyotanguliaalfabeti ya Kilatini.Waroma walipokea mwandiko kutokaalfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti zaKiitalia za awali kamaKietruski. Wagiriki waliipokea kutokaWafinisia.

Wafinisia walikuwa na alama ya "Mem" iliyokuwa kiasilipicha iliyorahisishwa yamaji wakitumia alama tu kwasauti ya "m" na kuiita kwaneno lao kwa maji "mem". Kwa kurahisishakazi ya kuandika waliongeza mstari mrefu upande walipoanza kuandika.

Wagiriki walichukua alama hiyo na kuiita "Mi" bila kujali maana asilia ya "maji", ilikuwa sauti tu ya "m". Waligeuza alama kulingana na mwendo wao wa kuandika kuanzia upande wa kushoto na kufikiaumbo lililokaa hivyo.

Waitalia wa kwanza wakaipokea ilivyo hata kama walirudia mara nyingi umbo la awali.

Waroma wakaendeleza alama hiyo katika alfabeti yao kwa maana hiyohiyo.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuM kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=M&oldid=1275116"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp