Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Luis Suárez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luis Suarez akiwa Liverpool (2011).

Luis Alberto Suárez (alizaliwaJanuari 24, 1987) nimchezaji wasoka waUruguay ambaye anacheza nafasi yamshambuliaji katikatimu yaAtletico Madrid natimu ya taifa ya Uruguay.

Luis Suarez mara nyingi huonekana kama mchezaji bora zaidi duniani, pia hujulikana kwajina la Professional Goalscorer, Suárez ameshinda vikombe 16 katika kazi yake, ikiwa ni pamoja namataji matano ya ligi, cheo chaUEFA Champions League (UCL) naCopa América. Suarez pia amepata viatu viwili vyadhahabu,na kiatu kimoja cha dhahabu chaEredivisie.

Suarez alichezeaAjax na kisha akaendaLiverpool,Barcelona na sasa hivi yupo Atletico Madrid .

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuLuis Suárez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Luis_Suárez&oldid=1348007"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp