Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Lugha ya pili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha ya pili nilugha yoyote ambayo inatumika katikamazingira yamtoto fulani anayojifunza, isipokuwalugha mama.

Ni tofauti nalugha ya kigeni, kwa sababu hiyo haipatikani katika mazingira yake.

Pengine inaitwa lugha ya pili hata lugha ambayo mtu amejifunza kwa makusudi na pengine kuitumia sana baada yautoto.

Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuLugha ya pili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.


Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Lugha_ya_pili&oldid=1137593"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp