Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Lucy Lawless

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lucy Lawless
Jina la kuzaliwaLucille Frances Ryan
Alizaliwa2 Machi1968
Miaka ya kazi1989 – Hadi leo

Lucille Frances Ryan (amezaliwa2 Machi1968) ni mshindi waTuzo ya Emmy akiwa kamamwigizaji borafilamu waNew Zealand. Amepata kufahamika baada ya kucheza katika tamthiliya ya Xena: Warrior Princess na Battlestar Galactica. Lawless pia nimwanamuziki.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Lucy_Lawless&oldid=1198752"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp