Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Louisiana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Jimbo la Louisiana
Louisiana

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Marekani Marekani
Mji mkuuBaton Rouge
Eneo
 - Jumla134,264km²
 - Kavu112,825 km² 
 - Maji21,440 km² 
Tovuti:  http://www.louisiana.gov/

Louisiana (Kiingereza:State of Louisiana,Kifaransa:État de Louisiane) nijimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika auMarekani. Mji mkuu niBaton Rouge (Kifaransa: banzi nyekundu) na mji mukubwa jimboniNew Orleans (Orleans Mpya). Upande wa kusini ni maji yaghuba ya Meksiko. Imepakana naArkansas,Mississippi naTexas. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 4,410,796 (2008) wanaokalia eneo la 135,382km² ambalo ni hasa milima na jangwa.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]

State of Louisiana Official Website

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuLouisiana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Louisiana&oldid=1121973"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp