Lobamba inaonasherehe kubwa ya kitaifa kilamwaka ningoma yaUmhlanga au ngoma yamafunjo ambakowasichana wanachukuwa mafunzo na kuzipeleka kwaikulu yantombi (mama wa mfalme). Ni kawaida ya kwamba mfalme anaweza kumteuamke mpya kati ya wasichana hawa wakicheza.
Majengo maalumu ni pamoja na ikulu, boma la kifalme, jumba la mama wa mfalme, Makumbusho wa Kitaifa ya Uswazi, Bunge na makumbusho ya mfalmeSobhuza II.
Makala hii kuhusu maeneo yaAfrika bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuLobamba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.