Leucho wa Brindisi
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Leucho wa Brindisi, mzaliwa waAleksandria, alikuwaaskofu wa kwanza wamjihuo waItalia Kusini katikakarne ya 4.
Kabla ya hapo alikuwammonaki katika nchi yake,Misri.
Tangu kale anaheshimiwa naWakatoliki naWaorthodoksi kamamtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwatarehe11 Januari[1].
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |