Lemuri-sufu
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Lemuri-sufu | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Lemuri-sufu mashariki | ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||||
Spishi 9
|
Lemuri-sufu (kutokaKiingereza:woolly lemur) nispishi zalemuri wajenasiAvahi katikafamiliaIndriidae. Kama lemuri wote wanatokeaMadagaska tu. Manyoya yao ni laini na ya kusokotwa kamasufu. Wana rangi ya kahawiakijivu hadi kahawianyekundu na mkia una rangi ya kahawiamachungwa. Iko rangi ya nyeupe nyuma yamapaja.Mwili wawanyama hawa una urefu wa sm 30-50 na uzito wao ni g 60-1200, kwa hivyo wao ni spishi ndogo kuliko nyingine za familia hii. Hulamajani hasa na penginematumba namaua.
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia:Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.