Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Lebanoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
الجمهورية اللبنانية
Al-Jumhūriyyah al-Lubnāniyyah
Jamhuri ya Lebanoni
Bendera ya LebanoniNembo ya Lebanoni
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa: Kūllūnā li-l-waṭan  (Kiarabu)
"Sisi sote kwa ajili ya taifa"
Wimbo wa taifa:Kulluna lil-watan
Lokeshen ya Lebanoni
Mji mkuuBeirut
33°54 N 35°32 E
Mji mkubwa nchiniBeirut
Lugha rasmiKiarabu(na zamaniKifaransa)
SerikaliJamhuri
Michel Aoun (ميشال عون)
Najib Mikati (نجيب ميقاتي)
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa

26 Novemba1941
22 Novemba1943
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
10,452 km² (ya 166)
1.8
Idadi ya watu
 -2015 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
5,851,000 (ya 112)
560/km² (ya 21)
FedhaLira ya Lebanon (LL) (LBP)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD.lb
Kodi ya simu+961

-


Lebanoni (kwaKiarabu: لبنان) ni nchi ndogo yaMashariki ya Kati katikaAsia ya Magharibi kando yaBahari ya Mediteranea.

Imepakana naSyria naIsraeli.

Jiografia

[hariri |hariri chanzo]

Kuna kanda nne zakijiografia:

Mto mrefu niLitani wenye mwendo wakm 140 unaoishia baharini karibu namji Tyros (Sur).

Miji

[hariri |hariri chanzo]

Miji mikubwa ni (kadirio ya idadi ya wakazi kwa mabano):

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Baada ya kusambaratika kwamilki yaWaturukiWaosmani kutokana Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia, Lebanoni iliwekwa naShirikisho la Mataifa iwe chini ya usimamizi waUfaransa.

Nchi hiyo ilipokuwa chini yaUjerumani wakati waVita Vikuu vya Pili vya Dunia. Lebanoni ilijitangaziauhuru wakemwaka1943.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Zaidi ya nusu ya wakazi hukaa katikarundiko lajiji la Beirut.

Wenyeji wanadamu mchanganyiko sana, lakinilugha ya kawaida nalugha rasmi niKiarabu.

Kati ya nchi zaWaarabu Lebanoni ni nchi pekee yenye wakazi wengi ambao niWakristo wamadhehebu mengiː walau ilikuwa hivyo hadi miaka ya karibuni, kabla yavita vya wenyewe kwa wenyewe kuzuka.

Ni kwamba zaidi yanusu ya Walibanoni wote wamehamia nje ya nchi, wakiwemo hasa Wakristo.

Kinyume chake, nchi imewapokeawakimbizi zaidi yamilioni 1.

Makadirio ya mwaka2014 yanadai kwa sasa 54% niWaislamu (27%Wasuni na 27%Washia), 40.5% ni Wakristo (21%WakatolikiWamaroni, 8%WaorthodoksiWamelkiti, 5%Wakatoliki Wamelkiti, 1%Waprotestanti), 5.6% niWadruzi n.k.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo yaAsia

Afghanistan |Armenia2 |Azerbaijan |Bahrain |Bangladesh |Bhutan |Brunei |China |Falme za Kiarabu |Georgia2 |Hong Kong3 |Indonesia |Iran |Iraq |Israel |Jamhuri ya China (Taiwan) |Japani |Kamboja |Kazakhstan |Kirgizia |Korea Kaskazini |Korea Kusini |Kupro2 |Kuwait |Laos |Lebanoni |Macau3 |Malaysia |Maldivi |Mongolia |Myanmar |Nepal |Omani |Pakistan |Palestina |Qatar |Saudia |Singapuri |Sri Lanka |Syria |Tajikistan |Timor ya Mashariki |Turkmenistan |Ufilipino |Uhindi |Urusi1 |Uthai |Uturuki1 |Uzbekistan |Vietnam |Yemen |Yordani

1. Nchi ina maeneo katikaAsia naUlaya. 2. Nchi ikoAsia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi zaUlaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.
Makala hii kuhusu maeneo yaAsia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuLebanoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Lebanoni&oldid=1427657"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp