Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Laura Bush

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Laura Bush.

Laura Bush (jina la kuzaliwa:Laura Lane Welch amezaliwa tar.4 Novemba1946 mjiniMidland,Texas) ni mke wa rais waMarekani Bw.George W. Bush. Laura ni mtoto pekee wa mzee Harold Bruce Welch (1912-1995) na Jenna Louise Hawkins (aliz. 1919). Laura na George walikutana na kuoana mnamo mwaka wa1977. Laura ni mama waBarbara Bush naJenna Bush, ambao walizaliwa mapacha mnamo mwaka1981. Kabla ya kuwa mke wa Rais, Laura alikuwa akifanya kazi ya uwalimu wa shule katika mji wa Dallas na Austin,Texas.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuLaura Bush kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Orodha ya Wake waMarais wa Marekani
M. Washington ·A. Adams ·M. Jefferson Randolph ·D. Madison ·E. Monroe ·L. Adams ·E. Donelson ·S. Jackson ·A. Van Buren ·A. Harrison ·J. Harrison ·L. Tyler ·P. Tyler ·J. Tyler ·S. Polk ·M. Taylor ·A. Fillmore ·J. Pierce ·H. Lane ·M. Lincoln ·E. Johnson ·J. Grant ·L. Hayes ·L. Garfield ·M. McElroy ·R. Cleveland ·F. Cleveland ·C. Harrison ·M. McKee ·F. Cleveland ·I. McKinley ·Edith Roosevelt ·H. Taft ·Ellen Wilson ·Edith Wilson ·F. Harding ·G. Coolidge ·L. Hoover ·E. Roosevelt ·B. Truman ·M. Eisenhower ·J. Kennedy ·C. Johnson ·P. Nixon ·B. Ford ·R. Carter ·N. Reagan ·B. Bush ·H. Clinton ·L. Bush ·M. Obama

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Laura_Bush&oldid=1298135"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp