Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Latvia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Latvia
Latvijas Republika
Jamhuri ya Latvia
Bendera ya LatviaNembo ya Latvia
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa:Tēvzemei un Brīvībai
(Kilatvia: " Kwa taifa na uhuru ")
Wimbo wa taifa:Dievs, svētī Latviju!
(Kilatvia: "Mungu ubariki Latvia!")
Lokeshen ya Latvia
Mji mkuuRiga
56°57′ N 24°6′ E
Mji mkubwa nchiniRiga
Lugha rasmiKilatvia
SerikaliDemokrasia
Egils Levits
Arturs Krišjānis Kariņš
Uhuru
Ilitangazwa (kutokaUrusi)
Ilitambuliwa
Ilitangazwa
(mwanzo wa kuachana na
Umoja wa Kisovyeti)

Ilikamilishwa

18 Novemba1918
26 Januari1921
4 Mei1990


6 Septemba1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
64,589 km² (ya 124)
1.5
Idadi ya watu
 -Julai 2014 kadirio
 -2011 sensa
 - Msongamano wa watu
 
1,973,700 (ya 148)
2,070,371
34.3/km² (166)
FedhaEuro (EUR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD.lv1
Kodi ya simu+371

-


Latvia (kwaKilatvia:Latvija auLatvijas Republika, kwaKilivonia:Lețmō auLeţmō Vabāmō) ninchi za Kibalti katikaUlaya ya Kaskazini.

Imepakana naEstonia,Lithuania,Belarus naUrusi.Uswidi iko ng'ambo yabahari ya Baltiki.

Mji mkuu niRiga.

Latvia ni nchi mwanachama waUmoja wa Ulaya tangu1 Mei2004.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Kwa muda mrefu Estonia ilikuwa chini yaWajerumani,Wapolandi naWaswidi, halafu (1710) sehemu yaDola la Urusi.

Katika miaka1918-1940 ilikuwajamhuri halafu miaka 1940-1991 mwanachama waUmoja wa Kisovyeti.

Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Latvia ilijitangazanchi huru tena.

Latvia ilijiunga naUmoja wa Ulaya baada ya azimio laHalmashauri Kuu ya Ulaya ya tarehe13 Desemba2002 iliyokutanaKopenhagen.

Katikakura ya maoni ya tarehe20 Septemba2003 ni 66.9% za Walatvia wote waliokubali azimio hilo.

Latvia iliingia rasmi katika Umoja wa Ulaya tarehe1 Mei2004 pamoja na nchi nyingine 9 zaUlaya mashariki.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Idadi ya watu inapungua, na sasa iko chini yamilioni 2.

Wakazi wengi niWalatvia 61.6%, halafuWarusi 25.8%,Wabelarus 3,4%,Waukraina 2,3%,Wapolandi 2,1%,Walituania 1.2% na wengine 4.8%.

Lugha rasmi niKilatvia, ambayo ni mojawapo yalugha za Kibalti. Wananchi walipigakura ya kukataaKirusi kama lugha rasmi ya pili.

Upande wadini, wengi (78.5%) niWakristo wamadhehebu mbalimbali, ingawa 7% tu wanashirikiibada mara kwa mara. Hasa niWalutheri (34.2%),Wakatoliki (24.1%) naWaorthodoksi (19.4%).Asilimia 21.1 hawana dini yoyote.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
Latvia
Nchi za Kibalti
Mengineyo

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Angalia mengine kuhusuLatvia kwenye miradi mingine yaWikimedia:
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary
picha na media kutoka Commons
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity
nukuu kutoka Wikiquote
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource
vitabu kutoka Wikibooks
Serikali
Taarifa za jumla
Elimu na utamaduni
Utalii
Ramani


Nchi zaUmoja wa UlayaBendera ya Umoja wa Ulaya
Austria |Bulgaria |Eire |Estonia |Hispania |Hungaria |Italia |Kroatia |Kupro |Latvia |Lituanya |Luxemburg |Malta |Polandi |Slovakia |Slovenia |Romania |Ubelgiji |Ucheki |Udeni |Ufaransa |Ufini |Ugiriki |Uholanzi |Ujerumani |Ureno |Uswidi
Nchi huru
Nchi zisizokubaliwa
na umma wa kimataifa
Maeneo yanayojitawala
chini ya nchi nyingine
1 nchi yaAsia ya Magharibi kijiografia ambayo huhesabiwa kuwa sehemu yaUlaya kiutamaduni2nchi ya kimabara
Makala hii kuhusu maeneo yaUlaya bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuLatvia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Latvia&oldid=1377843"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp