Historia ni somo kuhusu maisha yabinadamu nautamaduni wao wa wakati uliopita. Mara nyingi nenohistoria pia lina maana ya maarifa yoyote kuhusu wakati uliopita, yawe au yasiwe maarifa ya watu (kwa mfano "historia ya ulimwengu").
SS iliundwa kama kitengo cha wanamgambo wa NSDAP waliojulikana kamaSA. Awali kazi ya wanamgambo 8 walioteuliwa ilikuwa kumlinda kiongozi wa chama cha Adolf Hitler kwenye maandamano na mikutano ya chama. Tangu 1929 iliongozwa naHeinrich Himmler. Wakati ule kikosi kilikuwa na wanachama 280. Himmler aliendelea kupanusha kikosi. Hadi mwisho wa 1929 alikuwa wanamgambo 1,000 chini yake waliongezeka kuwa 52,000 mwaka 1932.