Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Laki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Laki (piaLakhi) ni neno lenye asili yaKihindi linalotumika kutajanamba 100,000, ambayo inafuata 99,999 na kufuatwa na 100,001. Inaweza kuandikwa pia 105.

Kwa mfano,Mji una wakazi laki tano, yaanimiatanoelfu.

Namba 650,000 inaweza kusomwa "laki sita na nusu".

Neno limeingia katikaKiswahili kutokana nahistoria ndefu yamawasiliano ya kibiashara kati yaBara Hindi napwani yaAfrika ya Mashariki.

Pengine inasikika kwambawingi wake ni nenolukuki, lakini matumizi ya kawaida ni tofauti.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yahisabati bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuLaki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Laki&oldid=1142597"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp