Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Lahaja sanifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lahaja sanifu (aulugha sanifu) nilahaja ambayo imeteuliwa kutoka lahaja nyingine kutumika kwa upana zaidi kuliko lahaja za kawaida. Lahaja sanifu hutumika hasa kwa mawasiliano baina ya wasemaji wa lahaja tofauti zalugha moja; tena, hutumika katika shughuli zilizo rasmi. Ili kuwa sanifu, lahaja teule hufanyiwa marekebisho madogomadogo upande wamatamshi,sarufi nasemantiki. Marekebisho hayo yanawezekana kutokea bila watu kujua.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha",Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Buliba, Aswani, Kimani Njogu & Alice Mwihaki 2006, "Isimujamii kwa Wanafunzi wa Kiswahili", Nairobi: The Jomo Kenyatta Foundation

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuLahaja sanifu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Lahaja_sanifu&oldid=936190"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp