Jumla ya timu 62 zimefanikiwa kushiriki katika La Liga tangu kuanzishwa kwake. Kati yake,tisa zilipataubingwa, naReal Madrid kushinda mara 33 naBarcelona F.C. mara 25.
Kuanziamiaka ya 1990,Barcelona (mara 14) naReal Madrid (mara 9) yamekuwa maarufu, ingawa La Liga pia aliona mabingwa mengine, ikiwa ni pamoja na Atlético Madrid, Valencia, na Deportivo deLa Coruña.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado nimbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusuLa Liga kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.