Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwa maana nyingine, tazamaKura (maana).
Kwa maana nyingine, tazamaKura (maana).
HukoUswisi, kura zinapigwa maranne kwa mwaka: kilaraia analetewanyumbani maelezo na vifaa vya kupigia kura.

Kura ni tendo au njia ya kawaida kwakundi lawatu ama kuchaguakiongozi wanayemtaka ama kuchukua maamuzi wanayoona yanafaa.

Taratibu za kupiga kura zinaweza kuwa mbalimbali, kwa mfano kuhusu nani apige, nani apigwe kura, kwa namna gani n.k.: mara nyingi ni muhimu itunzwesiri kuhusu kura iliyotolewa na kila mtu, aweze kuitoa bilahofu au shuruti kutoka nje.

Demokrasia inapendachaguzi zifanyike na maamuzi mengi yachukuliwe baada ya mjadala mpana na kura za wengi.

Pengine kupiga kura niwajibu unaosisitizwa nasheria, lakini mara nyingi zaidi mwenyehaki ya kupiga kura anaweza kuachiwahiari asiitumie, tenadini ndogo chache zinakataza waumini wasipige kura kamwe.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKura kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kura&oldid=1142522"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp