Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kung Fu Panda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kung Fu Panda ni mfululizo wakatuni unaopendwa nawatoto ambao huoneshwa kwenye chaneli ya Nickelodeon na ambao huletwa na Dream Works Animation ambayo iliongozwa na John Stevenson.

Huhusisha maisha ya dubu aina ya panda katika kipindi cha maisha yake kufanya kazi ya kuwa mhudumu katika mgahawa wa baba yake, lakini katika kijiji anachoishi kutokea uchaguzi wa mpiganaji dragoni ambaye atakuwa mlinzi wa kijiji chao baada ya aliyekuwa mfungwa sugu na jambazi katika filamu hii kutoroka jela.

Wkamahiriki wa sauti

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu filamu fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKung Fu Panda kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kung_Fu_Panda&oldid=1205032"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp