Kujitolea (katikaKiingereza:volunteering) nikazi ambazo zinaweza kufanywa namtu,kundi la watu, autaasisi yoyote bila ya kutarajia kupatamalipo kutoka katikajamii au wale wanaowafanyia kazi hiyo[1].
Kujitolea huwa pia sehemu ya kuongeza na kukuzamaarifa pamoja na kuendeleza matendo mema katika kuudhihirishautu na ubinadamu, mtu anayejitolea mara nyingi hupata matokeo mazuri kutoka katika jamii yake, hasa ile anayoihudumia.[2]
Kujitolea pia hutumika kama sehemu ya mtu kutengenezamazingira binafsi kwa ajili yaajira yake ya baadaye, watu wengi wanaojitolea mara nyingi hupata mafunzo mbalimbali kwa sehemu waliyopo kama vileelimu,matibabuhuduma za dharura na huduma nyingine kama vile kutoa huduma wakati wamajanga.
Kwa muktadha wa kijeshi, mtu anayejitolea ni yule anayejiunga najeshi bila kuwa mwananchi ila mara nyingi huwa analipwa (mamluki).