Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kriptoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kriptoni
Jina la ElementiKriptoni
AlamaKr
Namba atomia36
Mfululizo safuGesi adimu
Uzani atomia83.79
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka115.79 K (-157.36°C)
Kiwango cha kuchemka119.93 K (-153.22 °C)
Asilimia zaganda la dunia%
Hali maadagesi

Kriptoni (kut.kigiriki κρυπτόςkriptos kwa sababu haikuwa rahisi kuitambua) nielementi yenyenamba atomia36 kwenyemfumo radidia nauzani wa atomi 83.79. Alama yake niKr.

Ni elementi haba sana yapatikana kwa kiasi kidogo katikaangahewa kamagesi adimu na bwete isiyo na rangi wala ladha.

Matumizi yake ni hasa katika aina mbalimbali za taa kwa sababu inasaidia balbu kuwa na mwanga mweupe zaidi.

Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKriptoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kriptoni&oldid=1065388"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp