Koti huwa namikono mirefu (long sleeve) na huwa wazi kwa upande wa mbele ambapo waweza kufunga kwa kutumiavifungo,mnyororo aumshipi. Koti pia huenda ikawa nakofia au hoodie ya kuvaliakichwani.
KatikaKarne za Kati narenaissance, koti lilikuwa naurefu wa wastani, lenye vifungo kwa upande wa mbele na lenyeskati yake iliyokuwa lazima iambatane na koti lenyewe. Hivi leo, hili halipo.
Kuna koti lenye kofia yenyemanyoya kwa kichwa ambalo huvaliwa na walio kwenye nchi zenyebaridi jingi.
Kuna koti ndefu linaloitwa trench coat ambalo hufungwa kwa mshipi huku mbele
Kuna koti la ngozi (leather) ambalo hutengenezwa kwa ngozi yawanyama kamang'ombe,nyoka aumamba na limekuwa la kufana sana, haswa kwa watu wapikipiki ambao wanahitaji kujikinga dhidi yabaridi naupepo wanapoendesha vyombo vyao.
Kuna koti la nailoni ambalo huvaliwa wakati wamvua kujikinga kutokana na kurowa maji yaani rain macs
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKoti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.