Korporale
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Korporale (kwaKiingereza:corporal) nikitambaa aghalabucheupe kidogo chamraba ambacho kinatandikwaaltareni juu ya vitambaa vingine vyote na ambapo juu yake huwekwapatena,kikombe na penginesibori katika adhimisho laMisa.
Jinaasili laKilatini:corporax linatokana nanenocorpus, yaanimwili, kumaanisha kwamba lengo lake ni hasa kubebaMwili wa Kristo katikaekaristi.
{{cite encyclopedia}}
:Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help)![]() | Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKorporale kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |