Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kopenhagen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kopenhagen,Denmark


Mahali pa Kopenhagen katika Denmark

Eneo
 - Mji
 - Mkoa wa Jiji

88km²
455.61 km²
Wakazi
(2006-01-01)
 - Mji
 - Mkoa wa Jiji
 - Msongamano (mji/jiji)


501,158
1,115,035
5695/km² / 2447/km²
Kanda la wakatiUlaya ya Kati:UTC+1
Latitudo
Longitudo
55°43' N
12°34' E
Kopenhagen, picha ya angani
Katika mji wa kale ya Kopenhagen

Kopenhagen (kwaKidenmark:København = "Bandari ya wafanya biashara") nimji mkuu waDenmark piamji mkubwa wa nchi nakitovu chautawala,uchumi nautamaduni.

Jiografia

[hariri |hariri chanzo]

Kopenhagen ikoZealand (Sjælland) ambacho nikisiwa kikubwa cha Denmark. Iko karibu na mji waMalmo katikaUswidi ulio ng'ambo yamlango wa bahari yaOresund unaounganishabahari ya Baltiki naKattegat kuelekeaBahari ya Kaskazini. Sehemu ndogo ya mji iko kwenye kisiwa chaAmager.

Eneo la Kopenhagen lina miji ya Kopenhagen yenyewe (wakazi 501,158),Frederiksberg (wakazi 91,855),Gentoftev (wakazi 68,623) na wakazi wengine 453,399 katika miji midogomidogo ndani ya wilaya ya Kopenhagen.

Mahali pa Kopenhagen panapopendekezwa

[hariri |hariri chanzo]

Watu mashuhuri wenye uhusiano na Kopenhagen

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo yaUlaya bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuKopenhagen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kopenhagen&oldid=1392767"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp