Lengo la kujifungia ndani tangukarne za kati ni kuzuia makardinali wasiingiliwe nawatu wa nje, hasawatawala, ambao wanaweza kuwa na malengo tofauti na yale ya kiroho.
Kwa sasa kuna taratibu nyingi zilizopangwa kinaganaga, ambazo mojawapo ni kwamba wapigakura wasizidi 120.
Beal, John P.; Coriden, James A.; Green, Thomas J., eds. (2000).New Commentary on the Code of Canon Law. Mahwah, New Jersey: Paulist Press International.ISBN 978-0-8091-0502-1.
Burkle-Young, Francis A. (1999).Passing the Keys: Modern Cardinals, Conclaves, and the Election of the Next Pope. New York: The Derrydale Press.ISBN 978-1-56833-130-0
Guruge, Anura (2010).The Next Pope After Pope Benedict XVI. WOWNH LLC.ISBN 978-0-615-35372-2.
Pastor, Ludwig von. "History of the Papacy, Conclaves in the 16th century; Reforms of Pope Gregory XV, papal bulls:Aeterni Patris (1621) andDecet Romanum Pontificem (1622)".
Reese, T. J. (1996). "Revolution in Papal Elections". America174 (12): 4.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKonklevu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.