Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kizaza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizaza auKidimli (Zazaki, Dımılki) ni lugha ya kitaifa yaUzaza. Ni kati yalugha za Kihindi-Kiajemi za lugha zaKihindi-kiulaya. Inatumiwa hasa katika nchi zifuatazo:

  • Zazaki (Turuki)
  • Dımılki
  • Kırmancki

Kuna wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 3, na takriban wasemaji wengine milioni 3- 4 kama lugha ya pili.

  • Katika Elazığ, Diyarbakır, Bingöl penye wasemaji takriban milioni 2 lugha inaitwa "Zazaki" .
  • Katika Siverek, Gerger, Şanlıurfa penye wasemaji milioni 1 pia lugha inaitwa "Kidimli".

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kizaza&oldid=1336276"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp