Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kizaiwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizaiwa nilugha ya Kisino-Tibeti nchiniUchina naMyanmar inayozungumzwa naWajingpo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kizaiwa nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 80,000. Pia kuna wasemaji 30,000 nchini Myanmar (1997). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizaiwa iko katika kundi la Kiburmiki.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKizaiwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.


Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kizaiwa&oldid=1002323"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp