Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kixhosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kixhosa nilugha ya Kibantu hasa nchiniAfrika Kusini inayozungumzwa naWaxhosa. Mwaka wa2006 idadi ya wasemaji wa Kixhosa nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 7,790,000. Pia kuna wasemaji nchiniBotswana naLesotho. Kufuatana na uainishaji walugha za Kibantu waMalcolm Guthrie Kixhosa iko katika kundi la S40.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKixhosa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kixhosa&oldid=1110160"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp