Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kiwawonii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwawonii nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWawawonii kwenye visiwa vyaWawonii naMenui. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiwawonii imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwawonii iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKiwawonii kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kiwawonii&oldid=1002159"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp