Kiwaneci nilugha ya Kihindi-Kiulaya nchiniPakistan inayozungumzwa naWawaneci. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiwaneci imehesabiwa kuwa watu 108,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwaneci kiko katika kundi laKipashto.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKiwaneci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |