Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kivinjari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivinjari (pia:kidurusi, kwaKiingereza:browser) niprogramu yakompyuta inayowezesha kupatahabari kupitiaintaneti. Kilaukurasa wa intaneti,picha navideo, uliounganishwa nawavuti huwa naanwani inayoitwa Kioneshi Rasilimali SanifuKIRASA (Uniform Resource Locator;kifupi: URL). KISARA/URL huwezesha vivinjari kutafuta na kupatamaudhui haya kutoka kwaseva yawavuti na kuyaonyesha kwenye kompyuta ya mtumiaji.

Kivinjari cha wavuti si sawa nainjini ya utafutaji, ingawa hizo mbili mara nyingi huchanganywa. Kwa mtumiaji, injini ya utafutaji ni wavuti tu, kama vile google.com, ambayo huhifadhidata inayotafutwa kuhusu wavuti nyingine. Lakini ili kuunganishwa na seva ya wavuti na kuonyesha kurasa zake za wavuti, mtumiaji lazima awe na kivinjari cha wavuti kilichosanikishwa kwenye kifaa chake.

KufikiaMachi2019, zaidi yawatubilioni 4.3 hutumia kivinjari, ambacho ni karibu 55% yaidadi ya watu ulimwenguni.

Vivinjari maarufu zaidi niChrome,Firefox,Safari,Internet Explorer, naEdge.

Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kivinjari&oldid=1425032"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp