Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kivili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivili nilugha ya Kibantu nchiniJamhuri ya Kongo naGabon inayozungumzwa naWavili. Mwaka wa2000 idadi ya wasemaji wa Kivili nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 7310 na nchini Gabon 3690. Kufuatana na uainishaji walugha za Kibantu waMalcolm Guthrie Kivili iko katika kundi la H10.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKivili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kivili&oldid=1109949"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp