Kiuradhi
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kiuradhi kilikuwalugha ya Kipama-Nyungan nchiniAustralia iliyozungumzwa naWauradhi katika jimbo laQueensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiuradhi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuradhi kiko katika kundi la Kipaman.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKiuradhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |