Kitunggare
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kitunggare nilugha ya Kipapua nchiniIndonesia inayozungumzwa naWatunggare. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kitunggare imehesabiwa kuwa watu 500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitunggare iko katika kundi la “East Geelvink Bay”. Wengine huiangalia kama lahaja yaKiburate.
| Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitunggare kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |