Kitumbuka
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Kitumbuka nilugha ya Kibantu nchiniMalawi inayozungumzwa naWatumbuka. Mwaka wa2001 idadi ya wasemaji wa Kitumbuka nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Pia kuna wasemaji 142,000 nchiniZambia. Kufuatana na uainishaji walugha za Kibantu waMalcolm Guthrie Kitumbuka iko katika kundi la N20.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitumbuka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |