Kitotela nilugha ya Kibantu nchiniZambia naNamibia inayozungumzwa naWatotela. Idadi ya wasemaji imepungua sana. Mwaka wa1971 idadi ya wasemaji wa Kitotela nchini Zambia ilikuwa watu 14,000, lakini katika sensa ya mwaka wa 2010 wamebaki wasemaji 1120 tu. Idadi ya wasemaji nchini Namibia ni 100 tu (2006). Kufuatana na uainishaji walugha za Kibantu waMalcolm Guthrie Kitotela iko katika kundi la K40.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitotela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |