Kitopoiyo nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWatopoiyo kwenye kisiwa chaSulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitopoiyo imehesabiwa kuwa watu 450 tu. Lugha ya Kitopoiyo imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitopoiyo iko katika kundi la Kicelebiki.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitopoiyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |