Kitomini nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWatomini kwenye kisiwa chaSulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitomini imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitomini iko katika kundi la Kicelebiki.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuKitomini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |