Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kitolaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitolaki (piaKikonawe) nilugha ya Kiaustronesia nchiniIndonesia inayozungumzwa naWatolaki,Wamekongga naWawiwirano kwenye kisiwa chaSulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitolaki imehesabiwa kuwa watu 331,000, yaani Wakonawe 298,000, Wamekongga 33,000 na Wawiwirano 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitolaki iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKitolaki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kitolaki&oldid=1001847"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp