Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Kithai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kithai.
Eneo la Kithai.

Kithai nilugha ya taifa nalugha rasmi ya nchiniThailand pamoja na kuwalugha mama yaWathai,kundi kubwa la watu nchini Thailand.

Karibu watumilioni 70/75 wanazungumzalugha hiyo[1].

Ni lugha muhimu zaidi kati yalugha za Kithai, ambazo zinaundatawi lalugha za Kra-Dai.

Alfabeti

Alfabeti ya Kithai inaherufi 44.ก ข ฃ ค ฅ ฆ ง จ ฉ ช ซ ฌ ญ ฎ ฏ ฐ ฑ ฒ ณ ด ต ถ ท ธ น บ ป ผ ฝ พ ฟ ภ ม ย ร ล ว ศ ษ ส ห ฬ อ ฮ

Lugha ya Kithai inatarakimu zake za pekee pia: ๑ 1 ๒ 2๓ 3๔ 4๕ 5๖ 6๗ 7๘ 8๙ 9 ๐ 0

Tanbihi

  1. Peansiri Vongvipanond (Summer 1994)."Linguistic Perspectives of Thai Culture".paper presented to a workshop of teachers of social science. University of New Orleans. uk. 2. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 20 Novemba 2012. Iliwekwa mnamo26 Aprili 2011.The dialect one hears on radio and television is the Bangkok dialect, considered the standard dialect.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikipedia
Wikipedia
Kithai ni toleo laWikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuKithai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.


.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kithai&oldid=1350909"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp